Hakika Kiswahili kilipata heshima, upendo na hifadhi kubwa kutoka
wenyewe na wageni kutoka nchi za nje. Wageni hawa waliamua ku
katika maandishi. Yaani vitabu viliandikwa na kuchapishwa, watu w
kuvitunza.
Vitabu vya mwanzoni viliandikwa kwa hati za Kirumi. Wamisionari w
kuendesha dini ya Ukristo Afrika ya Mashariki. Miongoni mwa waan
Padri Edward Steere na Dk. Ludwig Kraft.
Padri Steere amekiri kupata msaada mkubwa wa kufanya marejeo
kutoka kwa Waswahili, Hamisi wa Tani na mtoto wake Mohammed, mabingwa wa lugha ya Kiingereza, Kifaransa na Kiswahili.
Padri Edward Steere aliyeishi Zanzibar na alifanya tafiti na kukusan
Kiswahili. Mwaka 1870 alichapisha kitabu chake maarufu; A Handb
Language as spoken at Zanzibar (Kitabu cha Mazungumzo ya Kisw
Juhudi kubwa zilifanywa na Waswahili kuendeleza na kudumisha lu
kufundishia elimu shuleni, mawasiliano katika kazi na biashara. Aid
Wajerumani na Waingereza walitumia Kiswahili katika tawala zao.
Mwaka 1911 magazeti ya Kiswahili yalianzishwa; ‘Pwani na Bara’ n
1923 serikali ilianzisha gazeti lake mashuhuri lililokuwa linaitwa ‘Ma
Wachapishaji binafsi nao walijihusisha zaidi na uchapishaji wa mag
Katika kukithamini Kiswahili mwaka 1930 vyombo viwili viliundwa; ‘I
Language (Swahili) committee’ iliyohusika na usimamizi wa lugha y
cha uchapaji magazeti na vitabu. Watu binafsi akiwamo Shaaban R
kiwanda chake cha uchapaji wa vitabu mjini Tanga kilichoitwa ‘Tang
Katika mchakato huo Kamusi ya Kiswahili, yaani Kitabu cha Manen
kilichapishwa mwaka 1935 na mwaka 1939 Kamusi ya Kiswahili kw
Kiingereza kwa Kiswahili zilichapishwa na mtunzi wa kamusi zote h
Johnson.
Kwa hakika vyombo hivi vilifanya kazi nyingi mbalimbali za kuhama
na kusoma vitabu kadha wa kadha vya kiada, hadithi, insha, masha
makala anuwai na maalumu. Vyombo hivi vilisaidia sana jamii katik

kimaandishi.
Ikumbukwe katika Vita ya Kwanza na ya Pili ya Dunia, Kiswahili kilit
waliokuwamo vitani, hivyo kukiendeleza na kukipatia umaarufu mku
wanaharakati na wanasiasa nchini na nje ya nchi walitumia Kiswah
yao.
Viongozi wengi Afrika ya Mashariki walitumia Kiswahili katika hotub
redio zilitumia Kiswahili katika taarifa zao, makala zao na matangaz
Moscow na BBC London zilitumia Kiswahili katika baadhi ya vipindi
Kuanzishwa kwa Redio Sauti ya Unguja (Zanzibar) Januari Mosi, m
kuanzishwa Redio Sauti ya Dar es Salaam, Julai Mosi, mwaka huo
Kiswahili kuendelezwa na kutumiwa kifasaha katika vipindi mbalimb
Mwendelezo na uboreshaji wa Sauti ya Dar es Salaam kuwa Sauti
(Tanganyika Broadcasting Service – TBS, mwaka 1953/54 ) na baa
Utangazaji la Tanganyika (Tanganyika Broadcasting Corporation – T
kuliwezesha Kiswahili kutapakaa nchini.

Mwisho

Please follow and like us:
Pin Share