Msanii Mrisho Mpoto apeperusha vema bendera ya Tanzania

Na Eleuteri Mangi,JamhuriMedia,Burundi Msanii maarufu katika kughani mashairi nchini Tanzania Mrisho Mpoto, maarufu ‘Mjomba’ amepeperusha vema bendera ya Tanzania Tamasha la Tano la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) nchini Burundi. Msanii Mjomba amekonga nyoyo za washiriki wa Tamasha la JAMAFEST na wananchi wa Burundi kwa wimbo wake wa “Wewe ni nani”…

Read More