JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Othman Masoud: Sauti ya Mabadiliko na ushindi wa Zanzibar Oktoba 29

Meneja wa kampeni za Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Ismail Jussa Ladhu, amewataka Wazanzibari kujitokeza kwa wingi ifikapo Oktoba 29 ili kumchagua Othman Masoud Othman, akisema huu ndio wakati wa kurejesha heshima, utu na thamani ya wananchi wa Zanzibar. Akizungumza…

Juma Duni Haji :ACT Wazalendo yashikilia nguvu ya ushindi Zanzibar

Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji, amesema hakuna nguvu itakayoweza kuizuia ACT kutoshinda Urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, hata kama uchaguzi huo ungefanyika kwa mwezi mzima na sio kwa siku mbili pekee….

Dira ya Zanzibar mpya itaongozwa na wananchi -Othman Masoud

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katika mchakato wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, jina la Othman Masoud Othman, Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, limezidi kushika kasi. Wananchi wengi wanamwona kama kiongozi mwenye maono ya kuibadilisha Zanzibar kuwa nchi ya wananchi…

Mgombea ubunge Jimbo la Morogoro awashauri wananchi kuichagua CUF ili kupata haki za kiuchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Nyambi Athuman ambaye ni mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), ambapo CUF inaamini katika falsafa ya ‘Haki Sawa kwa Wote’ itahakikisha kila mwananchi anapata haki zake za…

Nyamka awashauri wananchi kuchagua mafiga matatu CCM, asisitiza ni msingi wa maendeleo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Mjini, Mwalimu Mwajuma Nyamka, amewaasa wananchi wa Kata ya Pichandege kuhakikisha wanachagua mafiga matatu kutoka CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025,huku akisisitiza kufanya hivyo ni msingi…