Watoto 10 kufanyiwa upasuaji Zambia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Watoto 10 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wanatarajia kufanyiwa upasuaji wa moyo katika kambi maalumu ya upasuaji inayofanyika katika Hospitali ya Taifa ya Moyo ya nchini Zambia. Kambi hiyo ya upasuaji ya siku nne inafanywa na wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao…