Wanawake ni injini ya ujasiriamali

  Wakati fulani nilikuwa nikisikiliza wimbo ulioimbwa na mwanamuziki nguli, Luck Dube, na ukatokea kunivutia sana kutokana na maudhui yake.   Ndani ya kibao hicho, Dube anaeleza namna wanawake wanavyopambana na maisha kupitia kujituma kuhakikisha familia zao zinastawi vizuri. Hata hivyo, Dube anaulaumu ulimwengu kwa kutomtangaza mwanamke kama shujaa, lakini pia kutompa usaidizi unaotakiwa.  …

Read More