Wosia wangu kwa Komredi Kaghasheki

Makomredi Khamis Kagasheki na Lazaro Nyalandu; Salaam. Mlipoteuliwa kuiongoza Wizara ya Maliasili na Utalii wapo waliowapongeza. Mimi nilisita kuwapongeza. Nilisita kwa sababu nilidhani kwa ugumu wa wizara mliyokabidhiwa msingeukubali uteuzi huo, lakini mmeukubali. Kwa sababu hiyo, nawapongeza. Nawapongeza si kwa…
Soma zaidi...
Siasa

Zitto atoa ya moyoni

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto KabweMbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Zitto Kabwe, mwishoni mwa wiki amefanya mahojiano maalum na Gazeti la JAMHURI kuhusiana na mwenendo wa Bunge na mwelekeo wa taifa hili kwa ujumla. Mwandishi Wetu DEODATUS BALILE anakuletea…
Soma zaidi...

Vigogo watafuna nchi

*Wabunge wawili CCM walipwa fidia Sh milioni 964 bado jengo lauzwa*Zitto asema kalinunua Fida Hussein*Ataka Katibu Mkuu Fedha ahojiwe Wakati Rais Jakaya Kikwete amebadili Baraza la Mawaziri kutokana na shinikizo la Bunge, taarifa zimevuja kutoka serikalini kuwa kuna vigogo na…
Soma zaidi...