JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ripoti : Zaidi ya wanawake 40 huuawa kila mwezi nchini

Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media,Arusha Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimezindua ripoti ya mauaji ya makusudi dhidi ya wanawake Kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita ambayo inaonyesha jumla ya wanawake 2,438 wameuawa. Akizungumza na waandishi wa habari…

Makonda apokelewa na mamia ya wana -CCM, hotuba yake yakonga nyoyo za wananchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)- Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda leo Oktoba 26,2023 amekabidhiwa rasmi ofisi na Dk Sophia Mjema ambae ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais kwenye masuala Wanawake na Makundi Maalumu…

Tanzania, UN zasaini mpango kazi wa pamoja

Farida Ramadhani na Saidina Msangi, Dodoma Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Umoja wa Mataifa (UN) wamesaini Mpango Kazi wa pamoja wa Mwaka 2023/24 wa ushirikiano wa maendeleo kati ya Serikali na Mashirika ya Umoja wa Mataifa. Hati…

Dk Biteko ataka sekta ya uvuvi iwe nyenzo ya kuondoa umaskini nchini

#TAFIRI watakiwa kuwa kimbilio la wavuvi #Asisitiza utunzaji wa mazingira kupewa kipaumbele #Ahimiza kuongeza kasi kuuza bidhaa nje ya nchi #Dkt. Biteko Azindua ‘App’ kusaidia Sekta ya Uvuvi Na Mwandisbi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri…

Dk Mpango : Hakuna atakayekwamisha ujenzi wa viwanda vya dawa nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amesema Serikali inatambua vita iliyopo katika ujenzi wa viwanda vya dawa lakini kwa kuwa uamuzi huo ni wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan hakuna atakayefanikiwa kuvikwamisha. Amesema kwa sasa…