Latest Posts
TRA Dodoma yazindua kampeni ya Tuwajibike awamu ya pili kuwakumbusha wafanyabiasha kutumia EFD
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya mapato Tanzania Mkoa wa Dodoma(TRA) kupitia kampeni yake ya Tuwajibike imewashauri wafanyabiasha kuwa na mwamko na utamaduni wa kutoa risiti pindi wanapofanya mauzo ili kusaidia kuongeza mapato ya Serikali. Hayo yameelezwa leo September 15,2023…
TASWA Media Day bonanza kufanyika Desemba 9,2023
Tamasha maalum kwa ajili ya wadau mbalimbali kutoka vyombo vya habari ‘TASWA Media Day Bonanza’ linatarajiwa kufanyika Desemba 9, 2023. Lengo la bonanza hilo linaloandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ni kuwaweka pamoja kubadilishana mawazo na…
Waziri Mkuu azindua mpango mkakati wa AMREF
*Asisitiza mashirika yasiyo ya kiserikali yazingatie maadili WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezindua Mpango Mkakati wa miaka nane wa AMREF Tanzania na kuahidi kuwa Serikali itaendelea kufanya ufuatiliaji ili kuhakikisha afua zilizopo katika mpango huo zinatekelezwa kwa ufanisi na kuboresha huduma…
Korea Kusini yakaribishwa kuwekeza Tanzania
Na Na: Saidina Msangi, WF, Busan, Korea Kusini Tanzania imeikaribisha Jamhuri ya Korea ya Kusini kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo nishati na kilimo nchini Tanzania ili iweze kufikia lengo la kuwa na maendeleo endelevu. Wito huo umetolewa na Balozi wa…
Waziri Jafo aongoza zoezi la usafi Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewahimiza wakuu wa mikoa kusimamia ajenda ya usafi wa mazingira kila Jumamosi asubuhi ili kuifanya miji kuwa safi. Pia, ameelekeza kila mwananchi ashiriki kikamilifu kufanya…
Rais Samia: Barabara ya Newala – Masasi ni muhimu kwa usafirishaji mazao sokoni
Na Immaculate Makilika -MAELEZO, JamhuriMedia, Mtwara Barabara ya Mtwara – Mnivata yenye urefu wa km 50, ni sehemu ya barabara ya kusini itokayo Mtwara – Newala hadi Masasi kupitia Wilaya za Tandahimba na Newala yenye urefu wa km 210. Barabara…