Latest Posts
CCM yashinda udiwani Kigoma Ujiji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kiti cha udiwani katika Kata ya Kasingirima Manispaa ya Kigoma Ujiji, baada ya mgombea wa chama hicho Mlekwa Mfamao Kigeni kuibuka mshindi kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kwenye kata hiyo…
Halmashauri zatakiwa kurejesha fedha za mikopo ya KKK kupitia vyanzo vingine
Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, Shinyanga Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda ameziagiza halmashauri zote nchini zilizokopeshwa fedha kwa ajili ya programu ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi (KKK) kutafuta vyanzo vingine vya fedha kwa…
Jela miaka 30 kwa kumdaganya mwanafunzi kuwa atamuoa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Mahakama ya Wilaya ya Momba mkoani Songwe imemhukumu mshtakiwa Stanford Theobert (19), Mkulima, mkazi wa Maporomoko, Tunduma kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka. Mtuhumiwa huyo alikamatwa Januari 23, 2023…
Pwani yapunguza makosa ya uhalifu kwa asilimia 23.4
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani JESHI la Polisi mkoani Pwani, limepunguza uhalifu kwa makosa 259 sawa na asilimia 23.4 ukilinganishwa na mwaka 2020 ambapo kulikuwa na makosa 1,104 dhidi ya makosa 845 ya mwaka 2023. Aidha mkoa huo ,umefanikiwa kukamata…
Ujerumani yatoa euro milion 70 kusaidia miradi ya maendeleo Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar ea Salaam Tanzania na Ujerumani zimesaini makubaliano ya ahadi (commitment) ya msaada wa kiasi cha euro milioni 70 (sawa na shilingi bilioni 193.71) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini Tanzania, ikiwemo Sekta…





