Rais Magufuli fungua milango zaidi
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita Rais John Pombe Magufuli amefungua milango ya kukutana na viongozi wastaafu. Amekutana nao Ikulu na akasema utaratibu huu ataundeleza. Akasema atakutana nao mara kwa mara na katika kukutana nao hakuwabagua. Amekutana na wale walioko Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hata wale waliohamia upinzani kama Edward Lowassa na Frederick Sumaye….