Tag Archives: ccm

CCM wachukua fomu kumrithi Majimarefu Korogwe Vijijini

Wanachama  44 wa CCM wamejitokeza kuwania ubunge jimbo la Korogwe Vijijini. Wanacham 47 walichukua fomu hizo na 44 kati yao akiwamo mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Thomas Ngonyani wamerudisha fomu hzo. Jimbo hilo lilikuwa likiongozwa na Stephen Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu aliyefariki dunia Julai, mwaka huu. Katibu wa CCM Wilaya ya Korogwe Vijijini, Suraisa Sangusa amesema tayari makada ...

Read More »

JULIUS KALANGA AWAVULUGA CCM MONDULI

Wanachama wa CCM wilaya ya Monduli wameandamana kwenye ofisi za chama hicho wakitaka Mbunge wa CHADEMA Julius Kalanga aliyejiunga na chama hicho kufuata utaratibu ikiwemo hatua za uteuzi wa nafasi ya kugombania ubunge. Wakizungumza katika ofisi hizo wamesema wamesikia taarifa za kuteuliwa kwake bila kufuata utaratibu ikiwemo kukaa vikao na wazee wa kimila Malaigwanani ili waweze kumpitisha. Mwenyekiti wa CCM ...

Read More »

Mbunge wa CHADEMA Jimboni kwa Lowassa ajiuzulu, arudi CCM

Mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na CCM kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi Rais Magufuli. Kalanga amepokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. “Siasa za uhasama, malumbano na chuki zimeniondoa CHADEMA. Nimeamua kuiunga mkono serikali ya awamu ya tano kwa ...

Read More »

Mbunge WAITARA wa CHADEMA Ahamia CCM

MBUNGE wa Chadema Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Waitara amesema sababu ni kutofautiana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe baada ya kumhoji kwa nini chama hicho hakifanyi uchaguzi wa mwenyetiki wa chama hicho Taifa.

Read More »

Mwenyekiti UVCCM adai Chadema itaambulia majimbo mawili 2020

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Kheri James ametamba kwamba chama chake kitashinda katika uchaguzi mdogo wa Agosti 12, mwaka huu katika kata zote na ubunge wa jimbo la Buyungu. Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni katika Kata ya Daraja Mbili jijini Arusha, James alisema CCM imejiandaa kupima ‘mitambo’ yake katika uchaguzi huo ili kuhakikisha inakifuta Chadema katika Uchaguzi ...

Read More »

Mgombea wa Udiwani Kata ya Turwa, Tarime Kupitia CCM Amepita Bila Kupingwa

Mkurugenzi wa Halamshauri ya Mji wa Tarime Elias Ntiruhungwa ameamua kumutangaza aliyekuwa Mgombea udiwani kata ya Turwa kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Bw Chacha Mwita Ghati kwa madai kuwa amepita bila kupingwa huku akieleza kuwa wagombea Wenzake kutoka vyama vya upinzani wamekosea kujaza fomu jambo ambalo lilisababisha msimamizi Msaidizi wa wa uchaguzi ambaye ni Afisa Mtendaji wa kata kutowateua ...

Read More »

DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CCM

Dkt. Bashiru Ally amepitishwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM) akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrahman Kinana. Dkt. Bashiru amepitishwa leo Mei 29, 2018 katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama(NEC) Dkt. Bashiru ni Mwalimu Mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pia alikuwa Mwenyekiti wa Tume maalum ya kuchunguza mali za CCM iliyoundwa na Rais Magufuli PICHA ...

Read More »

CCM WAKUBALI KINANA KUJIUZULU

Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imepokea ombi la kustaafu kwa Ndg. Abdulrahman Kinana katika nafasi yake ya Katibu Mkuu pamoja na majukumu yake. Kamati hiyo wameridhia kwa pamoja ombi lake na wamemtakia mafanikio mema katika shughuri zake

Read More »

UVCCM Mkoa wa Dar Watakiwa Kusimamia Misingi ya Chama Chao

Katibu wa Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM)  mkoa wa Dar es Salaam amewataka vijana wa Jumuiya ya vijana mkoa wa Dar esSalaam kusimamia Misingi ya Jumuiya hiyo kwani ndiyo nguzo kuu ya chama inayozalisha viongozi mbalimbali wa Chama na serikali. Kauli hiyo ameitoa jana Jumamos Katika ukumbi wa Anatogro jijini Dar es Salaam alipokuwa akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar, ...

Read More »

Kigogo CCM anaswa uraia

*Anyimwa pasipoti kwenda ziarani China *Apanda vyeo na kushika nafasi nyeti nchini *Apewa maelekezo mazito kutimiza masharti *Baba aliingia Tanzania akiwa na miaka 3   NA WAANDISHI WETU, DODOMA   Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye (Nambatatu), anadaiwa kuwa si raia wa Tanzania, uchaunguzi wa JAMHURI umebaini. Kiboye ambaye anajulikana pia kwa jina la Jared ...

Read More »

HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA VIJIJI YAOMBWA KUTOA TENDA KWA VIJANA WENYE VIKUNDI

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kibaha Vijijini imeombwa kuwapatia tenda ndogondogo za ufundi vijana wenye vikundi kama ujenzi wa madarasa,ufyatuaji wa matofali,uchomeleaji wa madirisha au milango au kitu chochote,uaandaji wa chakula katika matukio mbalimbali ya halmashauri ili wajikwamue kiuchumi kwa kuwa uwezo wa kufanya kazi hizo wanao. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa ...

Read More »

PIGO TENA KWA ACT-WAZALENDO, DIWANI MWINGINE AAMIA CCM

Aliyekuwa Diwani wa kata ya Gihandu Wilayani Hanang, Mkoani Manyara kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mathayo Samuhenda amejiuzulu udiwani wa kata hiyo na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Diwani huyo ameachia kiti hiko cha udiwani wakati akifanya mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Gihundi. Kupitia mkutano huo amesema kwa muda wa miaka miwili sasa wananchi ...

Read More »

ZITTO KABWE APATA PIGO WANACHAMA WAKE ACT-WAZALENDO WAAMIA CCM

VIONGOZI kadhaa wa chama cha ACT Wazalendo na wanachama wao wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa, Machi 2, 2018. Akizungumza na wanahabari jijini Dar wakati wa kutoa maamuzi hayo, Katibu wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Ernest Theonest Kalumuna,  amesema yeye na Katibu wa ACT Jimbo la Ubungo na wanachama wao wengine ...

Read More »

CCM, CHADEMA Jiandaeni Kisaokolojia

Wiki hii unafanyika uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni, Dar es Salaam na Siha, Kilimanjaro. Uchaguzi huu umeitishwa kutokana na waliokuwa wabunge Godwin Mollel (CHADEMA) na Maulid Mtulia (CUF) kuhama vyama vyao wakajiunga na CCM baada ya kuvutiwa na utendaji wa Rais John Magufuli. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewateua Mollel kuwa mgombea wake Siha na Mtulia kuwa mgombea wake Kinondoni. ...

Read More »

MTULIA ATAJA KERO ATAKAYOANZA NAYO AKIWA MBUNGE

MGOMBEA ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdallah Mtulia ameendelea kuomba kura huku akiwaambi wananchi yeye hana tofauti na wao. Mbunge wa jimbo la Mtera,Livingstone Lusinde akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni jana jioni katika viwanja vya Vegas,Makumbusho,Kinondoni jijini Dar. Baadhi ya Wananchi na wafuasi wa chama cha CCM wakiwa wamekusanyika kwenye kampeni katika viwanja vya ...

Read More »

POLE POLE AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI ILALA KUTOA UFAFANUZI MIKOPO WANAYOTOA

KATIBU wa Nec Itikadi na uenezi Taifa wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole ameuagiza uongozi wa Chama hicho wilaya chini ya Ubaya Chuma kumuita mkurugenzi wa Halmashauri ya Ilala na wasaidizi wake ili kupata ufafanuzi kuhusu mikopo wanayotoa. Amesema kuwa pamekuwepo na malalamiko mengi juu ya eneo hilo hivyo lazima viongozi hao wachama Wilaya kuwaita viongozi hao wa Halmashauri ili ...

Read More »

KATIBU WA UWT JUDITH LAIZER KUTATUA TATIZO LA VYOO KATIKA SHULE YA YA MSINGI ILULA NA ISOLIWAYA ZILIZOPO KILOLO

Katibu wa umoja wa wanawake wa Ccm (UWT) wilaya ya Kilolo Judith Laizer akiongea na baadhi ya viongozi ,walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Isoliwaya wakatika wa kukabidhi msaada huo kwa ajili ya kujengea vyoo ya walimu wa shule hiyo Katibu wa umoja wa wanawake wa Ccm (UWT) wilaya ya Kilolo Judith Laizer akiwa ameambatana na baadhi ya viongozi ...

Read More »

ASAS: CCM ITAWASHUGHULIKIA WATENDAJI WOTE WA SERIKALI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS DK. MAGUFULI

MJUMBE wa Halmashauri kuu  CCM Taifa (NEC ) Salim Abri amesema kuwa CCM Mkoa wa Iringa itahakikisha inamshughulikia  mtendaji yeyote wa serikali  atakayeonyesha dalili ya kukwamisha  juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli. Kauli hiyo aliitoa mwishoni mwa mwiki  alipokuwa akiongea na wananchma wa CCM Manispaa ya Iringa katika maadhimisho ya miaka 41 ya kuzaliwa kwa CCM ,alisema ...

Read More »

KATAMBI AELEZEA SABABU ZA KUYUMBA KWA CHADEMA

KADA mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Patrobas Katambi ameeleza sababu zinazochangia kudhoofika kwa vyama vya upinzani nchini. Amesema kuyumba kwa vyama hivyo kunachangiwa na ubinafsi waviongozi wake ambao wengine wageuza Chama ni mali yao na kutoamaamuzi ambayo si shirikishi. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana,Katambi amesema kuwa tanguameondoka Chadema ambako alikuwa Mwenyekiti wa Vijana na Mjumbe wa Kamati Kuu ...

Read More »

Patrobas Katambi:CHADEMA Imepoteza Ajenda ya Misingi ya Chama

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la vijana la Chama cha Demookrasia na Maendeleo-CHADEMA ambaye hivi karibuni alikihama chama hicho na kuhamia CCM Patrobas Katambi amejitokeza kwa mara ya kwanza na kueleza udhaifu mkubwa wa kiuongozi uliopo ndani ya vyama vya siasa hapa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam Patrobas amesema, vyama vingi vya siasa vya upinzani ...

Read More »

JUMUIYA YA WAZAZI CCM WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mdolwa akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Kikao hicho pamoja na mambo mengine kilitarajiwa kuchagua Wajumbe wa Baraza la Utekelezaji Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mdolwa akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha ...

Read More »

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA

 Katibu Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo  Gari la Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke likiwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo  Balozi wa China hapa ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons