Kigogo CCM anaswa uraia

*Anyimwa pasipoti kwenda ziarani China *Apanda vyeo na kushika nafasi nyeti nchini *Apewa maelekezo mazito kutimiza masharti *Baba aliingia Tanzania akiwa na miaka 3   NA WAANDISHI WETU, DODOMA   Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye (Nambatatu), anadaiwa kuwa si raia wa Tanzania, uchaunguzi wa JAMHURI umebaini. Kiboye ambaye anajulikana…

Read More

HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA VIJIJI YAOMBWA KUTOA TENDA KWA VIJANA WENYE VIKUNDI

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kibaha Vijijini imeombwa kuwapatia tenda ndogondogo za ufundi vijana wenye vikundi kama ujenzi wa madarasa,ufyatuaji wa matofali,uchomeleaji wa madirisha au milango au kitu chochote,uaandaji wa chakula katika matukio mbalimbali ya halmashauri ili wajikwamue kiuchumi kwa kuwa uwezo wa kufanya kazi hizo wanao. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa…

Read More