Tag Archives: magufuli

Ndugu Rais shangazi kutangulia sikupi pole

Sehemu ya kwanza, nilieleza kuwa wanahistoria wanasema hadi karne ya 17 (miaka ya 1600 AD), duniani hapakuwapo kitu kinachoitwa au kinachojulikana kama CHAMA CHA SIASA tangu enzi za Wagiriki. Endelea….   Enzi za utawala wa Warumi (The Roman Empire) kulikuwa na mfumo wao wa utawala ambao haukuwa tofauti na ule wa Wagiriki. Warumi nao walikuwa na mfumo wa wawakilishi. Nao ...

Read More »

RAIS WA JAMHURI YA UGANDA, YOWERI MSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI TANZANIA 9 AGOSTI 2018

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni atafanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini tarehe 09 Agosti 2018. Lengo la ziara hiyo ni kuimarisha ushirikiano na ujirani mwema uliopo kati ya Tanzania na Uganda. Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Mheshimiwa Rais Museveni atapokelewa na ...

Read More »

JPM ainoa safu yake

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI MAALUMU   Julai 28, mwaka huu, Rais John Magufuli, alifanya uteuzi na uhamisho wa viongozi wa mikoa, wizara na wilaya. Amefanya mabadiliko hayo baada ya baadhi ya viongozi kustaafu, kuteuliwa kushika nafasi nyingine na wengine kuachwa.    Wakuu wa Mikoa   Ally Salum Hapi (aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni) ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa ...

Read More »

Magufuli Ateua Wakuu wa Wilaya Wapya

  Rais Magufuli amemteua Jokate Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Aidha, amemteua David Kafulila kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Rais Magufuli amemteua Jerry Muro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru na Patrobas Katambi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma. Rais Magufuli amemteua Ndg. Moses Machali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu na Ndg. Lengay Ole Sabaya ...

Read More »

Rais Magufuli ateuliwa mshindi wa tuzo ya Ukombozi Afrika

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameibuka mshindi wa tuzo ya Afrika katika masuala ya uchumi. Makamo mwenyekiti wa kamati ya tuzo ya ukombozi Afrika, Mwebesa Rwebugia ameieleza BBC kwamba rais Magufuli ameibuka mshindi kutokana na mchango wake wa kiuchumi hasaa katika ukuaji wa miundo mbinu. Hii ni mara ya pili kwa kiongozi wa Tanzania kupata tuzo hii, baada ya ...

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA VIONGOZI WAKUU NA VIONGOZI WASTAAFU IKULU DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiiongozi Balozi John Kijazi akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam ili kukutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wakuu na viongozi wastaafu ambao anakutana nao kwa mara ya kwanza wote kwa ...

Read More »

Ndugu Rais ‘National Breakfast Prayer’ itufunze

Ndugu Rais ni kweli kwamba ukiwa mkweli sana unaweza ukafika mahali ukasema, bora baba yangu angekuwa ni huyu mzee jirani yetu kuliko huyu baba niliyenaye! Kuna baba wengine ni kero kwa watoto wao. Na wengine kama mkosi! Tunaziona nyumba nyingi na kina baba tofauti tofauti. Utakuta baba wengine ni walevi wa kupindukia. Wengine wamepagawa kwa michepuko huku wengine kwenye uzezeta ...

Read More »

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI TIRA

RAIS John Magufuli amemteua Bi. Khadija Issa Said kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Kusimamia Shughuli za Bima Tanzania (TIRA).

Read More »

Uongozi siyo kazi ya rais peke yake

Juma lililopita Rais John Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam iliyoibua masuala kadhaa. Madhumuni ya ziara yalikuwa kuhakiki iwapo mafuta yaliyohifadhiwa kwenye matangi hapo bandarini yalikuwa ghafi au la, ili kubaini ushuru sahihi wa kulipia mafuta hayo. Zipo sababu nyingi kwanini rais analazimika kwenda bandarini kukagua shehena ya mafuta, lakini ni moja ambayo ndiyo ya ...

Read More »

Rais Magufuli Atoa Wito kwa Majeshi Yote Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Mei, 2018 amezindua kituo cha uwekezaji cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kilichopo katika kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mgulani (831KJ) Jijini Dar es Salaam. Kituo hicho kina viwanda vya kushona nguo, kutengeneza maji, kukereza vyuma na pia kina chuo ...

Read More »

Rais Magufuli Atoa Agizo kwa wanaodaiwa na JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo Alhamisi Mei 17, 2018 amefungua kituo cha Uwekezaji cha Suma JKT kilichopo Mgulani. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama wakiwemo mawaziri, pamoja na maafisa mbalimbali wa majeshi ya ulinzi na usalama hapa nchini. Katika hafla hiyo, Mkuu wa Majeshi ...

Read More »

Yah: Mhe Rais, hili ni ombwe zaidi ya ombwe

Wiki jana, nimetembelea ofisi moja ya kiongozi ambaye anasemekana anaingilia kazi za watu. Lengo langu lilikuwa ni kuonana naye tena nikiwa na hasira sana kuwasilisha malalamiko yangu ya uzembe wa viongozi wengine katika maeneo yao. Kilichonikuta kule ni huruma ya watu wengine ambao wamefika hapo kwa sababu ya kushindwa kusaidiwa na viongozi wengine.   Imeniudhi sana kwa kuwa najua wajibu ...

Read More »

RAIS MAGUFULI AONGEA NA WANANCHI MIKUMI, AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU –IFAKARA YENYE KM 66.9 PAMOJA NA DARAJA LA MTO RUAHA KATIKA ENEO LA NYANDEO KIDATU

Wananchi wakimsikikliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli eneo Mikumi wakati akiwa njiani kuelekea kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 katika sherehe zilizofanyika katika kijiji cha Nyandeo Kidatu mkoani Morogoro. Wananchi wakimsikikliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ...

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA IRINGA-DODOMA KATIKA SEHEMU YA IRINGA-MIGORI-FUFU KM 189 ILIYOKAMILIKA KUJENGWA KATIKA KIWANGO CHA LAMI

                                                                                                                        ...

Read More »

Rais achukua hatua hizi dhidi ya waliohujumu fedha za mradi wa maji Dodoma

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuwatafuta na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria wahusika waliohujumu kiasi cha shilingi bilioni 2 katika mradi wa maji wa Ntomoko ulioko wilayani Kondoa. Rais Magufuli aliyasema hayo jana wilayani Kondoa alipokuwa akifungua Barabara ya Dodoma hadi Babati yenye kilomita 251. “Wahusika watafutwe ili warudishe fedha walizochukua au wahakikishe mradi unakamilika. ...

Read More »

Rais Dkt Magufuli aipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametangaza kuipandisha hadhi Manispaa ya Mji wa Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo Aprili 26, 2018. Rais Dkt Magufuli ameyasema hayo leo, katika shotuba yake aliyoitoa wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. “Nilifanikiwa kuiona Dodoma ilivyokuwa. Imejengwa kila mahali, na Dodoma kweli ...

Read More »

Ndugu Rais Mungu atuepushe na Tanzania mpya

Ndugu Rais mara nyingi katika maandiko yangu hunukuu maandiko yaliyoandikwa katika kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu. Sababu kubwa ni kwamba sitaki wengine wafikiri ninaandika haya kwa kumlenga mtu au kwa kuilenga mamlaka yoyote. Wanaofikiri hivyo wamekosea sana! Lengo la maandiko haya ni kushauri kwa nia njema bila unafiki. Tutasifia pale panapostahili kusifiwa na tutakosoa pale panapostahili kukosolewa. Lengo ni ...

Read More »

Nguvu ya msamaha katika maisha

“Kutokusamehe ni kama kunywa dawa ya panya na kungoja ili panya afe.”- Anne Lamott. Alikuwapo msanii mmoja jina lake aliitwa Pablo Picasso 1881-1973, raia wa Hispania. Msanii huyu alikuwa anataka kuchora kitu kizuri duniani, msanii huyu alimwendea Padre mmoja na kumuuliza, Baba ni kitu gani kizuri duniani? Kwani ningependa nikichore kwenye turubai langu. Padre akamjibu akamwambia, kitu kizuri duniani ni ...

Read More »

Na Mwinjilisti Kamara Kusupa

0767 311422   Ninaandika barua hii nikiamini kwamba endapo utaitilia maanani na ukauelewa ujumbe wake, utaepusha janga na maafa kwa nchi. Usipoona umuhimu wake, kwangu si muhali, ninachojali ni kuufikisha ujumbe kwako na kwa Watanzania unaowatawala. Nimelitafakari kwa umakini onyo lako dhidi ya waliokusudia kuandamana Aprili 26, mwaka huu. Maandamano hayo yanahamasishwa kupitia mitandao ya kijamii. Maandalizi ya kuwapinga waandamanaji ...

Read More »

Nitawashangaa Wazungu watakaomsifu Magufuli

Kuna wakati Watanzania kadhaa walikuwa wakinung’unikia vyombo vya habari vya kimataifa kwa kuona Tanzania haitajwitajwi kwenye vyombo hivyo. Wapo walioona kutotajwa huko ni jambo baya, lakini wapo walioamini hiyo ni dalili njema. Walioamini hiyo ni dalili njema, waliamini hivyo kwa sababu wanaamini, na kwa kweli ndivyo ilivyo, kuwa ukitangazwa kwenye vyombo hivyo maana yake kuna mambo mabaya ambayo kwao ni ...

Read More »

Ndugu Rais dunia hadaa ulimwengu shujaa

Ndugu Rais, dunia tuliikuta na dunia tutaiacha. Niliwahi kusema kuwa kila mtu kila msiba anaohudhuria humkumbusha misiba yake iliyopita. Kama umefiwa na baba, mama, mtoto au ndugu aliyekugusa wakati wa msiba unakumbuka zaidi! Msiba umetokea na baba nilikuona. Msiba huu ulinikumbusha siku tulipokuwa tunauaga mwili wa Sir George Kahama katika ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Baba sikukuona ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons