China, Marekani katika vita ya biashara

Marekani inatarajia kuidhinisha viwango vipya vya ushuru ya bidhaa kutoka China hadi kufikia dola za Marekani bilioni 60, huku China nayo ikiahidi kuchukua hatua kama hiyo dhidi ya bidhaa kutoka Marekani. Afisa wa ngazi ya juu wa Marekani ambaye hakutaka jina lake kutajwa, ameliambia Shirika la Habari la Uingereza (Reuters) kwamba japokuwa nchi yake haijatoa…

Read More

Siku Afrika ikiwa kama Marekani itakuwaje?

Na Deodatus Balile   Kwa muda sasa nafuatilia siasa za Afrika na sehemu nyngine duniani. Leo nitajadili mataifa mawili; Marekani na Kenya. Nafuatilia kinachoendelea nchini Marekani. Nafuatilia kinachoendelea nchini Kenya. Narejea misingi ya uhuru wa mawazo na uhuru wa vyombo vya habari. Nchini Marekani tangu umalizike uchaguzi mkuu wa Novemba, 2016, Rais aliyeshinda, Donald Trump…

Read More