Month: August 2018
Wananchi Kyela wajitokeza kupiga kura
Wananchi wa kata ya Mwanganyanga katika mji mdogo wa Kyela, jijini Mbeya leo asubuhi Jumapili Agosti 12, 2018 wamejitokeza kupiga kura kuchagua diwani. Msimamizi wa Uchaguzi katika kata hiyo, Amos Basiri amesema vituo vyote vimefungulia saa 1 asubuhi na wananchi…
Dodoma walizwa
Kampuni uuzaji viwanja, nyumba yafanya yake * Mamia waambulia patupu, waangua vilio * Ilitambulishwa bungeni kwa mbwembwe nyingi DODOMA NA MWANDISHI WETU Baadhi ya watumishi wa umma na watu binafsi jijini Dodoma wanalalamika kutapeliwa na kampuni ya uendelezaji ardhi, ya…
Ole wenu mnaokaa kimya!
Mwanzo nilidhani tunaopinga usaliti wa wanasiasa wanaojiuzulu udiwani na ubunge na kwenda vyama vingine, tu wachache. Sikuwa sahihi. Baada ya kuliandika suala hili kwa mara ya tatu wiki iliyopita, nimepata mrejesho mkubwa. Wapo Watanzania wa kutosha wanaopinga hiki kinachoendelea. Vyama…
Waziri Kairuki tembelea Nyasirori
Sisi wananchi wa Nyasirori, Butiama mkoani Mara, tunaomba kujua faida za huu mgodi wa dhahabu kijijini kwetu. Tangu kuanzishwa kwa mgodi huu kwa kweli hatuoni mafanikio yoyote ya maana kwetu wananchi wa kawaida. Tunachokiona ni baadhi ya viongozi wa kitaifa…
Jabir Kigoda ahusishwa magari ya wizi
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Mfanyabiashara, Jabir Kigoda, anakabiliwa na tuhuma za kukutwa na magari matatu yanayodaiwa kuwa ni ya wizi. Magari hayo ya kifahari yamo kwenye orodha ya magari yaliyoibwa nchini Afrika Kusini. JAMHURI limeambiwa kuwa Shirikisho la…