Month: September 2018
Julius Kalanga Aibuka Kidedea Jimbo la Monduli
MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MONDULI. Julius Kalanga (Pichani) ametangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo la Monduli mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM, baada ya kupata kura 65, 714 dhidi ya kura 3,187 alizopata mshindani wake Yonas…
Emmanuel Amunike Aenda Mapumzikoni Hispania
Baada ya kuingoza Taifa Stars kwenda suluhu ya kutofungana na Uganda The Cranes katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza AFCON 2019, Kocha Emmanuel Amunike amekwea pipa kuelekea Hispania. Amunike ameondoka nchini na shirika la ndege ‘Qatar Airways’ kuelekea nchini huko…
Ndanda Fc Yaikazia Simba
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamelazimishwa sare ya bila kufungana dhidi ya wenyeji wake, Ndanda FC. Hii ni sare ya kwanza kwa Simba baada ya ushindi mara tatu mfululizo. Simba walishambulia mara nyingi zaidi lakini Ndanda wakiwa nyumbani…
SERIKALI INATAMBUA NA KUHESHIMU MCHANGO WA ASASI ZA KIRAIA-WAZIRI UMMY MWALIMU
Mkurugenzi wa Watoto toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Margaret Mussai akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Uwezeshaji wa Asasi za Kijamii kwaniaba ya waziri wa wizara hiyo. Mkutano huo uliandaliwa na taasisi ya NAMA…
Victiore Ingabire na Kizito Mihigo waachiliwa huru na rais Paul Kagame Rwanda
Rais Paul Kagame ametumia uwezo wake kuwaachilia zaidi ya wafungwa 2000 waliokuwa wamefungwa kwa makosa kadhaa ya uhalifu. Miongoni mwa wafungwa hao waliofaidika na hatua ya rais huyo ni mwanamuziki Kizito Mihigo ambaye alikuwa akihudumia kifungo cha miaka 10 na…