JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

Mafanikio yoyote yana sababu (15)

Na Padre Dk. Faustin Kamugisha   Neno la kutia moyo ni siri ya mafanikio. “Neno la kutia moyo kutoka kwa mwalimu linabadilisha maisha ya mwanafunzi. Neno la kutia moyo kutoka kwa mwenza, linaokoa ndoa.” alisema John Maxwell (Kiongozi wa kidini…

China, Marekani katika vita ya biashara

Marekani inatarajia kuidhinisha viwango vipya vya ushuru ya bidhaa kutoka China hadi kufikia dola za Marekani bilioni 60, huku China nayo ikiahidi kuchukua hatua kama hiyo dhidi ya bidhaa kutoka Marekani. Afisa wa ngazi ya juu wa Marekani ambaye hakutaka…

Afrika yafungua wigo mpya kibiashara

Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizotia saini mkataba unaolenga kuongeza wigo wa kufanya biashara miongoni mwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU), kwa zaidi ya asilimia 14 iliyopo sasa miongoni mwao. Mkataba huo ulitiwa saini mjini Kigali, Rwanda. Mkataba…

MSD kushiriki kujenga viwanda vya dawa Tanzania

Na Mwandishi Maalum Bohari ya Dawa nchini (MSD) imeendelea kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Mwaka 2015 – 2020 kwa vitendo baada ya kujipanga kushiriki kwenye kujenga viwanda vya kuzalisha dawa nchini kwa nia ya kupunguza utegemezi wa…

Nitawashangaa Wazungu watakaomsifu Magufuli

Kuna wakati Watanzania kadhaa walikuwa wakinung’unikia vyombo vya habari vya kimataifa kwa kuona Tanzania haitajwitajwi kwenye vyombo hivyo. Wapo walioona kutotajwa huko ni jambo baya, lakini wapo walioamini hiyo ni dalili njema. Walioamini hiyo ni dalili njema, waliamini hivyo kwa…

Dalili zinazoashiria tatizo kwenye afya yako

Watu wengi wamekuwa na tabia ya kupuuzia baadhi ya dalili ndogo zinazojitokeza kwenye afya zao pasipo kujua chanzo hasa cha dalili hizo. Ifahamike kuwa tabia hii ni hatari sana kwa sababu matatizo yote makubwa ya kiafya huwa yanaanza na dalili…