JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2019

Miaka 35 bila Sokoine

Alasiri ya Aprili 12, 1984 wakati huo nikiishi Kurasini Highway, nilivuka barabara kwenda Kurasini Shimo la Udongo kuchukua picha zangu za passport kwenye studio moja. Jina la hiyo studio silikumbuki, maana miaka 35 ni mingi, lakini nakumbuka ilikuwa karibu na…

Ubakaji na utelekezaji wa watoto

Kuna jambo ambalo limezungumziwa bungeni na kunifanya nihisi furaha iliyopitiliza. Jambo hilo ni kwamba wanandugu ndio wanaochangia kwa kiasi kikubwa kosa la watu kuwabaka hata dada zao na wakati mwingine binti zao, pia kuwatelekeza watoto wanaotokana na unyama huo wa…

Mwanadamu na fikra zake 

Mwanadamu ana uwezo wa kufikiri na kuamua kutenda jambo zuri au baya. Anaweza kujifanyia haya binafsi, kuwafanyia wanadamu wenzake na viumbe vyote vilivyomo katika ulimwengu huu, kwa nia tu ya kuridhisha nafsi yake. Na hapa ndipo yanapoanzia maelewano na mifarakano…

Yah: Dunia inakwenda kasi, naomba nishuke

Naanza na salamu kama ilivyo kawaida yangu, naamini huo ni moja ya uzalendo ambao tumekuwa nao kama watoto wa Tanganyika mpaka ikawa Tanzania huru. Salamu inakufanya umtambue mzalendo mwenzako na kumtambua kama yuko salama na uko mikono salama kama mmekutana…

Buriani Lutumba Simaro Massiya

Lutumba Simaro Massiya aliyekuwa mtunzi na mcharazaji maalumu wa gitaa la ‘rhythm’ katika bendi za T.P. OK Jazz na Bana OK, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amefariki dunia Machi 30, mwaka huu katika Jiji la Paris, Ufaransa. Taarifa hiyo…

Simba SC ni ‘half time’

Dakika 90 kati ya 180 za mchezo wa robo fainali ya Kombe la Klabu Bingwa barani Afrika baina ya Simba SC na TP Mazembe zimekamilika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa miamba hao kutoka suluhu. Klabu ya…