Bandari: Taratibu za kusafirisha mzigo ng‘ambo
Kwa siku za karibuni yamekuwapo malalamiko yasiyo rasmi juu ya wateja kucheleweshewa mizigo inayosafirishwa nje ya nchi, hasa mizigo ya mazao yanayoharibika haraka (perishable goods) kama maparachichi. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeyaona malalamiko hayo kupitia vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii. Kutokana na hali hiyo, Bandari imebaini kwamba, kwa kuwa Tanzania inaingia kwenye…