JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2019

Ufisadi, upendeleo CWT

Hali si shwari katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kwani wakubwa wa chama hicho kwa sasa wanatazamwa kwa jicho la kutiliwa shaka katika uadilifu wao baada ya kutumia ukabila, udugu na upendeleo wa kila aina kuendesha chama hicho, JAMHURI limebaini….

Wajinga wengi hujulikana wanapojieleza

Utandawazi kama mfumo unaoongozwa na kuongoza uchumi wa soko, hutumia mawasiliano ya haraka na mepesi katika shughuli zake. Mfumo huu ulipoingia duniani, ulitishia na kuhatarisha uwepo wa mambo mengi tuliyoyazoea. Dhana ya utandawazi ni somo pana, pekee na mahususi kulizungumzia….

Uhakiki wa uraia kero Ngara

Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Ngara mkoani Kagera imekuwa ikisababisha usumbufu kwa wananchi wilayani humo kuhusu uraia wa baadhi yao. Inaelezwa kuwa utaratibu wa maofisa Uhamiaji wilayani humo wa kuvizia mabasi na magari yanayofanya safari zake ndani ya wilaya na…

Hifadhi ya Serengeti kuongezwa

Serikali inakusudia kuongeza ukubwa wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, ameliambia Bunge kuwa wizara yake imetayarisha mapendekezo ya kubadili mpaka wa hifadhi hiyo. Kwa sasa ukubwa wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti…

Zoezi la utayari katika afya EAC lipewe uzito

Mwezi ujao, kwa muda wa siku nne, kuanzia tarehe 11 hadi 14, Tanzania itashiriki zoezi la kupima utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani. Hali hiyo inatokana na nchi za Ukanda…

NINA NDOTO (19)

Uaminifu unalipa   Uaminifu ni tabia ya mtu  kuaminika. Kama watu hawakuamini si rahisi kutimiza ndoto yako. Uaminifu unalipa. Watu wakikuamini ni mojawapo ya hatua kubwa ya kuzifikia ndoto zako. Uaminifu hujengwa, lazima kuna mambo unatakiwa kuyafanya ili watu waweze…