Year: 2021
Uhalali wa wabunge 19 wa Chadema
DODOMA Na Mwandishi Wetu Kwa muda mrefu kumekuwa na mjadala juu ya uhalali wa kuwapo wabunge 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama sehemu ya Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni takriban miezi mitano…
Ya Sabaya, tuandike majina yetu vizuri
Na Deodatus Balile Kwanza, naomba kabla sijaingia katika undani wa mada nichukue fursa hii adhimu kuwashukuru wahariri wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kunichagua kuwa Mwenyekiti wa TEF kwa kishindo. Sitanii, ushindi wa asilimia 72 walionipa wahariri hawa…
Nani ‘anaua’ vipaji Yanga?
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Ni matamanio ya kila shabiki wa soka kuiona klabu anayoishabikia ikipiga hatua na kufikia mafanikio, ikiwa ni pamoja na kuchukua mataji. Naam! Ni kama vile kuwafikisha wana wa Israel katika nchi ya ahadi na…
Nyota Liverpool awa Balozi Tanzania
ARUSHA Na Mwandishi Wetu Beki wa kimataifa wa Ufaransa na nyota wa zamani wa miamba wa soko wa Ligi Kuu ya England (EPL), Liverpool, MamadouSakho, ameombwa na kukubali kuwa Balozi wa Hiari wa Utalii wa Tanzania.Beki huyo wa kati mwenye…
UCHAGUZI KIDATO CHA V… Profesa Ndalichako unatesa maskini
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita serikali imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowashtua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia; hasa wale maskini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka…
Viwavi wenye sumu kali waibuka Virginia
Wana manyoya mithili ya manyoya ya paka na kwa ukaribu wanaonekana ni wazuri sana kuwachezea. Lakini amini usiamini, viwavi hao aina ya puss ni viumbe wasiopaswa kukaribiwa na binadamu hasa nchini Marekani. Hii ni kwa sababu aina hiyo ya viwavi…