Month: April 2022
Nini chimbuko mabadiliko ya tabianchi?
DAR ES SALAAM Na Dk. Felician B. Kilahama Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ni Alfa na Omega kwa zawadi ya uhai; si kwamba sisi ni wema kuliko waliopoteza maisha; bali ni kwa neema na rehema…
Aibu hii Katavi ni ya kudumu?
KATAVI Na Walter Mguluchuma Ajenda ya ajira kwa watoto imekuwa ikisumbua vichwa vya wengi duniani na mara kwa mara hujadiliwa kwenye vikao vizito vya kitaifa na kimataifa. Umoja wa Mataifa (UN) unapinga ajira kwa watoto na ipo mikataba na makubaliano…
Kwaheri! Kwaheri! Profesa Ngowi
DODOMA Na Profesa Handley Mafwenga Profesa Honest Prosper Ngowi, mwanafalsafa wa uchumi uliyebarikiwa na Mungu, uliyebarikiwa na ndimi njema za wanazuoni waliopenda maandiko yako, na kupendezewa na ulimi wako uliotema ubora wa masuala ya uchumi, fedha, na biashara. Profesa usiyechoka,…
Tumechagua kuishi kinafiki na Manula
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Umewahi kumshuhudia Aishi Manula akiwa na siku mbaya ofisini kwake, yaani katika lango la Simba au Taifa Stars? Kwa hakika huwa anatia huruma. Ngoma za masikio yake hupokea kila neno chafu kutoka kwa mashabiki….
Kombe la Dunia Qatar 2022
Tayari mataifa yatakayoshiriki fainali za Kombe la Dunia huko Qatar baadaye mwaka huu yamekwisha kufahamika, huku nafasi chache zilizosalia zikitarajiwa kujazwa Juni 13 na 14 mwaka huu katika hatua ya mchujo (inter-confederation play-offs); pamoja na mechi kati ya Ukraine na…
Urusi haiepukiki
*Mataifa yanayochimba mafuta yapuuza maagizo ya Marekani RIYADH Saud Arabia Leo ni siku ya 40 tangu Rais wa Urusi, Vladimir Putin, alipotangaza na kuanzisha kile anachokiita ‘Operesheni ya Kijeshi’ nchini Ukraine; huku jumuiya ya kimataifa ikikitafsiri kama ni uvamizi wa…