Month: April 2022
Sensa kufanyika kidijitali
Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan amezindua nembo na tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022. Uzinduzi huo ulifanyika Aprili 8, mwaka huu katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar ambapo Rais alitangaza kuwa…
TCD, kikosi kazi wapewa jukumu zito
Dodoma Na Mwandishi Wetu Kikosi kazi cha kukusanya maoni ya marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa na ile ya uchaguzi, kimetakiwa kukusanya maoni na mapendekezo ambayo hayataibua maswali kwa serikali wakati wa kuyapitisha. Agizo hilo limetolewa na Rais Samia…
Kinachowang’oa mawaziri Maliasili
NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Uteuzi uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na kumpa Dk. Pindi Chana dhamana ya kuongoza Wizara ya Maliasili na Utalii unaifanya wizara hii iendelee kushikilia rekodi ya kuwa na mawaziri wengi ndani ya vipindi…
Mgogoro wa fedha wafukuta kwa Wasabato
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Washiriki wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania wanawatuhumu baadhi ya viongozi wao kwa tuhuma mbalimbali ikiwamo ubadhirifu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka. Tuhuma hizo zimesababisha mgogoro wa muda mrefu na kusababisha washiriki…
Rais Mwinyi kutembelea Kojani Pemba
*Aagiza Wakojani wawezeshwe mitumbwi Uchumi wa Buluu *Ni Kisiwa chenye skuli ambayo wanafunzi wanasoma kompyuta ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema atakitembelea Kisiwa cha Kojani, Pemba baada ya…
Vita ya Urusi, uroho wa faida
Na Deodatus Balile Kwa muda wa wiki tatu hivi, sijapata kuandika katika safu hii. Ni kutokana na kubanwa na majukumu mengi, ambayo bila kujitoa pengine mengi yangekwama. Nimepokea simu na ujumbe kutoka kwa wasomaji wangu kadhaa wakihoji kulikoni siandiki? Naomba…