‘Ifumuliwe’

*Wadau wadai sekta ya uvuvi nchini imeoza *Wasema kuna mtandao wa mapapa unaofadhili uvuvi haramu *Wamwomba Waziri Mashimba Ndaki kuifumua sekta nzima *Mwenyewe atangaza vita, operesheni maalumu yaanza Dar es Salaam Na Alex Kazenga Wadau wa uvuvi nchini wameiomba serikali kuuvunja mtandao wa uvuvi haramu kwa kuifanyia mabadiliko makubwa sekta ya uvuvi. Hayo yamekuja ikiwa…

Read More

Utata ununuzi magari TALGWU

*Fedha za gari la Katibu Mkuu zilitosha kununua jipya    lakini likanunuliwa la mtumba *Lakutwa lina kadi mbili zikionyesha     limetengenezwa mwaka 2015  na kusajiliwa mwaka 2014 *Katibu Mkuu asema hakumbuki  mchakato wa ununuzi ulivyofanyika  *Asema wananunua magari ya  mtumba kwa sababu wao si serikali DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mchakato wa ununuzi wa magari ya…

Read More

Nape: Sheria ya habari inabadilishwa mwaka huu

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema katika mwaka huu wa fedha serikali itahakikisha inakamilisha mchakato wa mabadiliko ya Sheria ya Huduma za Habari (MSA) ya Mwaka 2016. Akihitimisha michango ya wabunge katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma Ijumaa, wiki iliyopita, Nape amesema: “Serikali itahakikisha inafanyia marekebisho…

Read More

Mwanza patamu!

*Yanga safiii… ila Simba mmh! DAR ES SALAAM Na Andrew Peter “Mwanza oooh Mwanzaaa! Mwanza mji mzuri. Mwanzaaaa!” Maneno ya Dk. Ramadhan Remmy Ongala ‘Mbele kwa Mbele’. Hakuna anayebisha kuhusu uzuri wa Jiji la Mwanza maarufu kama ‘Rocky City’ kutokana na miamba na majabari yanayolipamba. Jiji la Mwanza lipo pembezoni mwa Ziwa Victoria. Mawe yaliyopo…

Read More