JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2022

Kosa la Lissu, Kosa la Maalim Seif

LONDON Na Ezekiel Kamwaga Samuel Huntington, pengine mchambuzi mahiri zaidi wa siasa za Marekani katika karne iliyopita, alipata kuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu mashuhuri cha Harvard nchini humo.  Mmoja wa wanafunzi wake alikuwa Fareed Zakaria na anakumbuka somo moja kubwa…

Kumekucha uchaguzi wa Yanga

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Harakati za uchaguzi wa Klabu ya Yanga zimeanza kwa kishindo na tayari majina kadhaa makubwa yamejitosa kutaka kumrithi Mwenyekiti, Dk. Mshindo Msolla. Hakuna ubishi uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na utamu wa aina yake…

Bingwa Sh milioni 600, wachezaji maisha duni

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Baada ya kuishuhudia Taifa Stars ikipokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Algeria katika mchezo wa Kundi ‘F’ kusaka kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2023, Ivory Coast, macho na masikio…

Unachukuaje fedha zilizoachwa  na marehemu kwenye simu?

Na Bashir Yakub Leo tunaangalia namna ya kufanya ili uweze kuchukua fedha zilizoachwa kwenye akaunti ya simu na ndugu yako aliyefariki dunia; jinsi ya kufahamu iwapo ameacha fedha kwenye simu au hakuacha, hasa kama haujui namba yake ya siri ya akaunti…

Mbatia azidi kubanwa mikoani

KATAVI Na Walter Mguluchuma Chama cha NCCR-Mageuzi mkoani hapa kimeunga mkono maazimio ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho kumsimamisha uenyekiti James Mbatia na makamu wake, Angelina Mtahiwa. Akitoa tamko la chama la mkoa, Kamishna wa NCCR Mkoa wa…

‘Serikali imedhamiria kuungana na sekta binafsi’

DAR ES SALAAM  Na Jackson Kulinga Siku moja kabla ya kufanyika mkutano wa 13 wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC), Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Paul Makanza, alizungumzia kuridhishwa kwake na umakini wa serikali katika kutekeleza maazimio…