Year: 2022
Mwangamilo awatembelea wahanga wa ajali ya pikipiki hospitali
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na viongozi wa madereva wa pikipiki mkoani humo wamewatembelea wahanga wa ajali za pikipiki na vyombo vingine vya moto katika Hospitali ya…
Ndejembi:Likizo kwa watumishi wa umma nyakati za sikukuu zisiwe kikwazo
Na Veronica Mwafisi,JamhuriMedia Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amesema likizo za mwaka kwa watumishi wa umma katika kipindi cha sikukuu zisiwe kikwazo cha kutoa huduma kwa wananchi. Akizungumza na Watumishi…
Jafo ataka majengo yawekwe mfumo wa kuvuna maji ya mvua
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),Dkt. Selemani Jafo ameelekeza majengo yote ya Serikali yanayojengwa katika eneo la Mtumba jijini Dodoma kuwekwa amfumo wa kuvuna maji ya mvua kuepusha athari za kimazingira. Ametoa maelekezo hayo alipofanya…
IGP Wambura ataka kufichuliwa wanaofanya vitendo vya ukatili
Na A/INSP Frank Lukwaro Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura amewataka Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoa huduma bora kwa wahanga wa vitendo vya ukatili wanaoripoti matukio ya ukatili katika vituo vya Polisi ili kujenga…
Nchi 15 zakutana kujadili usalama wa mazingira baharini
Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia Nchi 15 kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika zipo nchini, kushiriki kongamano la kutoa uelewa mpana juu ya mkataba wa kimataifa kwenye suala zima la kulinda mazingira ya bahari yaweze kuwa endelevu kwa viumbe wa majini. Akizungumza mara…
Afrika Mashariki wahimizwa kutumia bidhaa za ndani
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Riziki Pembe Juma ametoa wito kwa wananchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kujivunia na kutumia bidhaa zinazozalishwa katika Jumuiya ili kuijenga Afrika Mashariki yenye uchumi…