JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Watetezi wa mazingira MECIRA kujadili umuhimu wa utunzaji vyanzo vya maji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Kituo chama Wanahabari ,Watetezi wa Rasilimali na Taarifa MECIRA kimeamua kuwakutanisha wadau mbalimbali wa maendeleo, mazingira, uhifadhi na utalii kwa ajili ya kujadili umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji na uhifadhi wa mazingira.   Akizungumza na waandishi…

Filamu ya The Royal Tour yatajwa kuleta ushawishi wa kitalii nchini

Filamu ya ”The Royal Tour”ambayo imetajwa kuleta ushawishi wa Kitalii nchini.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan,Tuzo ya kimataifa ya kuwa muongoza watalii bora nchini kutoka Taasisi ya Kimataifa ya International Iconic Award ya nchini India. Akizungumza…

CCM washauriwa kutopoteza muda kwa malumbano

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amewataka wana CCM kutopoteza muda kwa malumbano na majibizano kwa kuwa kuna kazi muhimu mbele yao ya kujenga Chama na nchi. Amesema Rais Samia Suluhu Hassan…

DC Mgema:Vita ya kugombania maji inakuja

Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Ruvuma MKUU Wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololet Mgema ameitaja vita kubwa na mbaya ambayo inakuja ni ya kugombania maji. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba Wilaya ya…

Kisa Morocco, Wasauzi wataka Mosimane apewe Bafana Bafana

Baada ya Morocco kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia nchini Qatar kumeubuka hisia mbalimbali miongoni mwa mashabiki na makocha wa timu mbalimbali kuhusu namna ya kuziandaa timu zao za taifa kuelekea mafanikio.  Huko Afrika Kusini kocha wa…

TFF wanapopambanisha ‘Mandonga na Twaha Kiduku’

Kuna kitu kinaendelea katika mechi za Kombe la Shirikisho la Azam ambacho hata mashabiki wa soka hawakifurahii ingawa kwa nje kinaonekana kizuri kwa timu zao. Azam wameshinda 9-0 dhidi ya Malimao FC, Simba nao wameshinda 8-0 na Ihefu nao wakaishindilia…