Year: 2022
MIAKA 100 MWALIMU NYERERE Nini cha kukumbuka?
DAR ES SALAAM Na Dk. Felician Kilahama Nichukue fursa hii kwanza kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mambo mengi anayotutendea siku hata siku, ikiwa ni pamoja na zawadi ya uhai; hivyo kila mwenye pumzi na amsifu Mungu. Tunapomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu…
Unakifahamu kilichomuua Mwalimu Nyerere?
Na Joe Beda Rupia Birth-day au birthday. Siku ya kuzaliwa. Huwa si siku maarufu sana kwa kweli katika maana halisi ya ‘siku ya kuzaliwa’! Huwa haifahamiki. Kwa nini? Kwa sababu mtoto anayezaliwa hajulikani. Hasa kama mtoto mwenyewe anatoka katika familia…
Bandari ya Dar es Salaam yaweka historia mpya
*Meli kubwa yatia nanga ikiwa imebeba magari 4,041 DAR ES SALAAM Na Mwandishi Maalumu Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi yake baada ya wiki iliyopita kupokea meli kubwa zaidi kuwahi kufika, pia ikiwa ni ya kwanza yenye mzigo mkubwa…
Binti aboresha kitimwendo kuwasaidia walemavu
*Sasa kitawawezesha kufanya kazi za mikono, mazoezi kwa urahisi *Agizo la Serikali kwa TIRDO, SIDO kushirikiana naye lapuuzwa Dar es Salaam Na Alex Kazenga Binti wa Kitanzania, Joan Mohamed (24), ameibuka na ubunifu wa aina yake utakaokifanya kitimwendo (wheelchair) kuwa…
UJUMBE WA KWARESMA – (5) Papa Francis na ‘uongofu wa mazingira’
Jumapili ya wiki hii ni Sikukuu ya Kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo; yaani Pasaka. Kwa maana hiyo leo tunawaletea sehemu ya mwisho ya mfululizo wa Ujumbe wa Kwaresma kwa mwaka 2022 kama ulivyoandaliwa na Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC). SURA…
Laylatul Qadri ni siku bora katika Uislamu
Jumanne ya leo Aprili 12, 2022 ni siku ya kumi tangu kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Tunamuomba Allaah Mtukufu Azikubali Swaumu zetu. Makala yetu leo inakusudia kuiangazia siku ndani ya Mwezi wa Ramadhani iitwayo ‘Laylatul Qadri’ (Usiku wa Cheo)…