Year: 2022
Dawa za kulevya kilo 16.643 zakamatwa, wasanii wanaohamasisha kuchukuliwa hatua
Na Mussa Augustine. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya( DCEA) imefanikiwa kukamata jumla ya kilo 16.643 za dawa ya kulevya zikijumuisha kilo 15.19 za heroin,gramu 655.73 za Cocaine na gramu 968.6e7 za Mathamphetamine zilizowahusisha jumla ya Watuhumiwa…
Wawili wafungwa maisha jela kwa ulawiti na mwingine miaka 33 kwa ubakaji Pwani
Mwamvua Mwinyi, Pwani Watu watatu waliojihusisha na vitendo vya ulawiti na ubakaji Mkoani Pwani wamehukumiwa kifungo cha maisha na mwingine miaka 33 jela. Hayo yalisemwa na kamanda wa Polisi Mkoani Pwani ACP Pius Lutumo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari…
Mwisho wa zama
Mwisho wa zama, ndivyo unavyoweza kusema baada ya mshambuliaji wa Real Madrid na Ubelgiji, Eden Hazard, kustafuu kuitumikia timu yake ya taifa ya Ubelgiji. Hazard na mastaa wengine kama Kevin De Bruyne na Romelu Lukaku wameshindwa kuipa mafanikio timu yao…
Serikali kuwasilisha bungeni mabadiliko ya vipengele tata vya sheria ya habari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia SERIKALI inajiandaa kuwasilisha bungeni mabadiliko ya vipengele vya Sheria ya Habari ili wabunge wakiridhia, utekelezaji wake ufanyike. Hayo yamesemwa na msemaji wa Serikali Gerson Msigwa, wakati akifungua mkutano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini (UTPC),…
Toka Qatar mpaka Lindi
Jana ilikuwa ni siku ya kusisimua kwa Bara la Afrika na hususani kwa wananchi wa Morocco baada ya timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia kwa kuifurusha Hispania kwa njia ya penati. Morocco iliandikisha rekodi nyingi…
Geita Gold yazigonganisha klabu za ligi kuu kwa straika huyu
Ndoa ya Geita Gold na straika kinara wa mabao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliopita msimu uliopita, George Mpole, imefikia tamati hii leo baada ya pande hizo mbili kukubaliana kuvunja mkataba kwa maslahi ya kila upande. Taarifa ya…