Year: 2022
Upandaji miti unahitaji wigo mpana zaidi
Miongoni mwa vichocheo vinavyoongeza tishio la ukame na mabadiliko ya tabia nchi linaloikumba dunia kwa muda mrefu sasa ni ukataji holela wa miti na uharibifu wa mazingira, hususan misitu. Ongezeko la ukataji miti ni tatizo kubwa kwa dunia na hata…
UJUMBE WA KWARESMA – (3) ‘Tunawasihi kwa jina lake Yesu Kristo, mpatanishwe na Mungu’
Mafundisho ya Mt. Yohane Paulo II (Papa) 19. Mt. Yohane Paulo II (Papa) aliona umuhimu wa upatanisho kwa Kanisa na kwa ulimwengu mzima. Papa aliona upatanisho kama njia ya kuuponya ulimwengu uliovunjika kutokana na mgawanyiko katika uhusiano kati ya watu binafsi na…
Ubalozi Marekani watuhumiwa
NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unatuhumiwa kumpunja mjane mafao yaliyotokana na kifo cha mumewe. Mjane huyo, Salome Leguna, ameushitaki ubalozi huo kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…
Huyu ndiye Rais Samia
*Anaendeleza ujenzi wa miradi mikubwa *Anaimarisha diplomasia ya uchumi *Anaboresha utawala bora, demokrasia DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja tangu aapishwe Machi 19, mwaka jana na kuanza kuongoza nchi baada ya kifo cha…
Asante sana Dk. John Magufuli
Na Samwel Kasori CHATO Alhamisi ya Machi 17, mwaka huu ni mwaka mmoja tangu nchi yetu iondokewe na Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Joseph Magufuli. Hiki ni kipindi cha kutafakari mambo mengi, hususan jinsi Dk. Magufuli alivyojitoa…
Usiyapoteze machozi yako
Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Ukimpiga mbwa viboko vitano na binadamu viboko vitano, binadamu anaumia sana kuzidi mbwa kwa sababu binadamu analeta mateso aliyoyapata wakati huu, na aliyoyapata zamani na atakayoyapata; anaumia sana. Anatoa machozi. Msemo wa kuwa ‘wafalme hawalii’…