Year: 2022
Ma-DED wasitenguliwe tu, wachukuliwe hatua zaidi
Februari 4, mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa wakurugenzi watendaji wa halmashauri za wilaya za Buchosa, Iringa, Mbeya na Singida Mjini kwa matumizi mabaya ya fedha za miradi ya maendeleo na upotevu wa mapato katika halmashauri hizo….
MIRABAHA… Mwanzo mzuri, sanaa nyingine zifikiriwe
Dar es Salaam Na Christopher Msekena Mamia kwa maelfu ya wasanii wa muziki nchini wameufungua mwaka 2022 kwa kicheko wakipokea gawio (au mirabaha) ya kazi zao kutoka serikalini kupitia Chama cha Hakimiliki (COSOTA). Katika hafla iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar…
Korea Kaskazini yajaribu makombora
Pyongyang Korea Kaskazini Korea Kaskazini imeonyesha picha inazodai kuwa zimechukuliwa kutoka katika jaribio lao la kurusha kombora lenye nguvu kubwa zaidi kuwahi kufanyika katika kipindi cha miaka mitano. Picha hizo ambazo si za kawaida zimechukuliwa kutoka anga za mbali zikionyesha…
Mabadiliko makubwa mizani
*Malori ya mafuta yapunguziwa mizani *Hakuna kupima bandarini, yabakizwa 3 *Hofu ya mapato yaibuka, Waziri anena NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imefuta utaratibu wa malori ya mafuta yanayokwenda nje ya nchi kupimwa…
Mamlaka za nchi iokoeni Ngorongoro
Mwaka mmoja uliopita tulichapisha makala hii ya aliyekuwa mmoja wa wakurugenzi wa JAMHURI, Mkinga Mkinga – akishawishi mamlaka za nchi ziinusuru Ngorongoro. Maandishi yake yameendelea kuwa muhimu hasa wakati huu ambao tishio la kuiangamiza hifadhi hiyo ya kipekee duniani likiongezeka….
Rais Azali awekewa ngumu
*Wapinzani sasa waweka masharti *Mwakilishi UN amtembelea Sambi NA MWANDISHI WETU Utawala wa Rais Azali Assoumani wa Muungano wa Visiwa vya Comoro unazidi kubanwa kutokana na hatua yake ya kumweka kizuizini Rais mstaafu wa nchi hiyo, Ahmed Mohamed Sambi. Sambi…