JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Dk. Mwinyi: Uchumi wa Buluu utaboresha sheria

Dodoma  Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi,  amesema ana matumaini kuwa iwapo dhana ya Uchumi wa Buluu itaeleweka vema kutakuwa na nafasi nzuri ya kurekebisha na kuboresha sheria na taratibu…

Mulamula: Ni muhimu Warundi kurudi kwao

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, amesema Tanzania na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) wataendelea kushirikiana katika kuwarejesha nyumbani wakimbizi wa Burundi….

Sababu mazungumzo ya Marekani, Iran kusuasua

Na Nizar K Visram Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres alitangaza hivi karibuni kuwa Iran imechelewa kulipa mchango wake, kwa hiyo haki yake ya kupiga kura inasimamishwa.  Mwakilishi wa Iran katika UN alieleza kuwa uchelewashaji huo umetokana…

Tuchukue tahadhari za mvua zinazoendelea kunyesha

Jumamosi ya wiki iliyopita Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilitoa tahadhari ya matarajio ya hali mbaya ya hewa kwa siku tano. TMA ilitoa tahadhari ya mvua kubwa kwa siku tano mfululizo kuanzia Jumamosi hadi kesho kwa maeneo machache…

Manungu Complex panafaa kwa ligi Morogoro

Na Mwandishi Wetu  Baada ya miaka 23 kupita, juzi Jumamosi tuliwaona Simba wakiwa katikati ya mashamba ya miwa yaliyopo Turiani, wakimenyana na ‘wakata miwa’ Mtibwa Sugar katika dimba la Manungu Complex, kisha kutoka sare ya bila kufungana.  Mchezo huo ulikuwa…

Thadeo, Katembo wateuliwa Kamati ya Uchaguzi SHIMIWI

DODOMA Na Mwandishi Wetu Aliyewahi kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Michezo kwenye Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Leonard Thadeo na Hakimu Mfawidhi (mstaafu) wa Mahakama ya Utete, Rufiji, Ally Katembo ni miongoni mwa wajumbe watano walioteuliwa kuunda kamati…