JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Masauni:Siridhishwi na kasi ya Polisi kushughulikia migogoro ya ardhi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Ruvuma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelitaka Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma kuwakamata wafugaji wanaoingiza mifugo katika mashamba ya wakulima na kuwachukulia hatua za kisheria.  Amesema haridhishwa na kasi ya jeshi hilo katika…

Simba mbele kwa mbele

Klabu ya Simba imefanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya Costal Union Fc baada ya kuitandika mabao 3-0 mchezo  ambao ulipigwa kwenye dimba la Mkwakwani mkoani Tanga. Simba Sc ililazimishwa sare katika kipindi cha kwanza licha ya kukosa nafasi nyingi…

Askari waliotimiza miaka 22 kazini watoa msaada kituo cha watoto yatima

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha waliotimiza miaka ishirini na mbili kazini wametoa msaada katika kituo cha faraja Orphanage kilichopo shangalai wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha ikiwa ni mchango wao…

Mgunda apeleka vita kwao

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda, yupo Jijini Tanga na timu yake ya Simba SC tayari kukabiliana na klabu ya Coastal Union ambaye ameinoa kwa muda mrefu kabla ya kujiunga na Simba SC ya Jijini Dar es Salaam. …

Morocco yavunja rekodi mbalimbali kutinga 16 bora Kombe la Dunia Qatar

Timu ya Taifa ya Morocco wameuungana na Senegal katika hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia nchini Qatar baada ya kuicharaza Canada kwa mabao 2-1 na kuwafanya kuongoza kundi lao wakiwa na point 7 huku wakifuatiwa na Croatia wenye…

Mwinyi Zahera Kocha mpya Polisi Tanzania

Klabu ya Polisi Tanzania imemtangaza aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga kuwa kocha wake mpya baada ya mazungumzo ya muda mrefu na makubaliano ya pande zote mbili kufikiwa.  Kocha huyo mwenye uraia wa Congo na Ufaransa atakuwa na jukumu kubwa la…