JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Waliomzika mtoto akiwa hai wapandishwa kizimbani

Watu watatu akiwemo mama mzazi wa mtoto Zawadi Msagaja (20) na mkazi wa kijiji cha Mahaha wilayani Magu mkoani Mwanza, wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kike kwa kumzika akiwa hai ili wapate mali. Wengine waliofikishwa katika…

Ajali yaua watano Morogoro

Watu watano wameripotiwa kufariki dunia papo hapo, katika eneo la Mikumi, wilayani Kilosa mkoani Morogoro kwenye ajali iliyohusisha gari ndogo maarufu kama IT iliyokuwa ikitokea bandarini jijini Dar es salaam kuelekea mpakani Tunduma kugongana uso kwa uso na gari kubwa…

Waziri Mabula asherehekea sikukuu kwa kukabidhi zawadi

Na Hassan Mabuye,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amesherekea siku kuu ya Krisimasi na wagonjwa kwa kula nao chakula pamoja na kukabidhi zawadi za Krisimasi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Waziri…

Simba SC yaichapa KMC FC 3-1

Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.  Mabao ya Simba SC yamefungwa na mshambuliaji na Nahodha John Bocco dakika ya 16,…