Month: July 2023
Fisi aua mtu mmoja Mtwara, naye auawa
Wananchi wa Kijiji cha Chiwambo mkoani Mtwara wamemuua fisi wa silaha za jadi baada ya kuvamia nyumbani kwa mkazi mmoja wa kijiji hicho wakati wakiota moto ndani. Mwenyekiti wa Serikali ya kijiji hicho, Maimuna Mbaya amesema kuwa tukio hilo lilitokea…
Ajali ya ndege yaua watano Poland
Ndege ndogo imeanguka kwenye uwanja wa ndege karibu na mji mkuu wa Poland Warsaw, na kuua watu watano akiwemo rubani wake, maafisa wanasema. Watu wanane pia walijeruhiwa katika ajali hiyo, polisi wanasema. Watu kumi na watatu walikuwa wameripotiwa kujikinga kwenye…
Breaking News; Jecha afariki dunia
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ambaye atakumbukwa kwa kufuta uchaguzi 2025 na kupata umaarufu, Jecha Salim Jecha amefariki dunia katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam. Marehemu akiwa Mwenyekiti wa Tume hiyo aliwahi kufuta matokeo…
Wafungwa 29 waliokiuka masharti ya parole kurudishwa gerezani
Wafungwa 29 wamekiuka masharti ya Mpango wa Parole na kurudishwa gerezani tokea Bodi ya Parole ilipoanza kusimamia utekelezaji wa sheria zake. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema hayo leo alipokuwa akizindua Bodi ya Taifa ya Parole….
Jamii yashauriwa kuepuka vitu vinavyosababisha magonjwa ya moyo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila Dkt. Fabian Kamana ametoa rai kwa jamii kupunguza matumizi ya mafuta, chumvi, sukari, tumbaku na pombe kwa wingi kwa kuwa vyote hivi husababisha mtu kupata…