JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2024

Vyanzo vipya vya umeme kuanzishwa kukidhi ongezeko la mahitaji – Dk Biteko

šŸ“ŒAshuhudia utiaji saini mkataba Mradi wa Umeme Malagarasi (49.5) šŸ“ŒAagiza TANESCO kuondokana na urasimu kwenye miradi ya umeme šŸ“ŒWabunge KIGOMA wapongeza Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua…

Wafanyabiashara wadogo, makundi maalum yapewe kipaumbele ununuzi wa umma – Dk Biteko

šŸ“ŒAshuhudia makubaliano ya PPRA na NEEC kuwezesha makundi maalum šŸ“ŒAagiza rufaa za makundi maalum PPRA zisikilizwe haraka šŸ“ŒAtaka makundi maalum yajengewe uwezo kuweza kushindana na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko…

Waziri Simbachawene, ā€œawapongeza walimu Mpwapwaā€

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene amewapongeza Idara ya Elimu sekondari ya Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa kwa kufanya vizuri katika Mtihani wa kidato cha nne…

TAKUKURU Shinyanga yawataka wananchi kujihadhari na matapeli wanaojifanya maafisa wa Serikali

Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Shinyanga, Donasian Kessy amewataka wananchi kujihadhali na wimbi la matapeli lililoibuka hivi karibuni,ambalo limekuwa likitapeli watu kwa kutumia simu za mkononi. Tahadhali hiyo ameitoa leo…

Dk Nchimbi azungumza na watumishi wa CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na watumishi wa CCM Makao Makuu pamoja na jumuiya zake, Jumuiya ya Wazazi, Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), kwenye Ukumbi…