Month: February 2024
Wananchi kupewa elimu MMMAM
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Doroth Gwajima amewashauri wahariri wa vyombo vya habari nchini kushirikiana na serikali kutoa elimu kwa wananchi kuhusu dhana ya Mpango wa Malezi, Makuzi, Maendeleo ya…
Ujumbe wa Tanzaania wajifunza utengenezaji vifaa vya uongezaji thamani vito
Watembelea Kiwanda cha Mtanzania Aliyewekeza Nchini Thailand Bangkok Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo mwishoni mwa wiki aliongoza Ujumbe wa Tanzania nchini Thailand kutembelea Kiwanda Earth Supply Co. Ltd kinachotengeneza Mashine zinazotumika katika shughuli za kukata, kutoboa na…
Waziri Mkuu Palestina ajiuzulu
Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammad Shtayyeh ametangaza kujiuzulu. Akitangaza uamuzi huo leo, Shtayyeh amesema uamuzi huo unatokana na serikali yake kutawala sehemu za Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. “Ninawasilisha kujiuzulu kwa serikali kwa Rais (Mahmud Abbas),” Shtayyeh amesema, na…
JKCI kuweka kambi matibabu ya moyo Dar
TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inatarajia kuweka kambi maalum ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo mkoani Dar es salaam na mikoa ya jirani katika kuadhimisha siku ya wanawake Duniani Machi 8, 2024. Taarifa iliyotolewa na Mkuu…
Dk Biteko asisitiza umuhimu wa EREA sekta ya nishati
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kuzungumza na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Udhibiti wa huduma za Nishati kwa nchi za Afrika Mashariki (EREA) Dkt. Geoffrey Mabea leo tarehe 26 Februari, 2024 jijini…