JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Wanaotorosha korosho kwenda nje ya nchi waonywa siku zao zinahesabika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, BODI ya Korosho Tanzania mkoani Tanga imewaonya wakulima wenye tabia za kutorosha Korosho kwenda kuuza nje ya nchi kuacha mara moja kufanya hivyo kwani siku zao zinahesabika kutokana na vyombo vya dola vinawatambua na watapokamatwa watashughulikiwa…

Spika, Ridhiwani wawajulia hali majeruhi, watoa mkono wa pole kwa mashabiki Simba

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia. Pwani Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambae pia ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini ,Dkt.Tulia Ackson ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete kuwapa pole mashabiki wa Simba waliopata…

Waliofanya uhalifu wa kupora pikipiki wakamatwa Arusha

Na Abel Paul, Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikiria mtuhumiwa aliyeonekana katika video ambayo ilisamba katika mitaandao ya Kijamii na kupora vitu kwa mwananchi mmoja huko maneo ya Burka kisongo Jijini Arusha. Akitoa taarifa…

Utafiti: Watanzania waunga mkono mikakati ya kupunguza uzalishaji wa Methane

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Watanzania wameonekana kuunga mkono kwa kiasi kikubwa mipango inayolenga kupunguza uzalishaji wa gesi ya methane na kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Global Methane Hub, shirika la kibinadamu…

Al Ahly kwetu kama kwao, wawafunga Simba kwa Mkapa

Na isri Mohamed DAKIKA 90 za mtanange wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba vs AL Ahly ya Misri zimemalizika kwa mnyama kukubali kichapo cha bao moja kwa Nunge lililofungwa kipindi cha kwanza. Kocha mkuu wa Simba, Abdelhak Benchika…