JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Serikali yazitaka Taasisi kuimarisha usimamizi katazo la mifuko ya plastiki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imezitaka Mamlaka na Taasisi zake zote kuimarisha na kuwezesha vitengo vyake vinavyosimamia utekelezaji wa katazo la mifuko ya plastiki ili viweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo kama ilivyoelekezwa kwenye Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Sura 191 na…

Barabara zinazoelekea Ikulu ya Rais Kenya zawekwa vizuizi vya kiusalama

Kundi la vitengo kadhaa vya usalama vimetumwa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Nairobi ili kusubiri maandamano ya vijana yanayopangwa kufanyika siku ya Alhamisi. Waandamanaji hao wameapa kuandaa maandamano ya kuelekea ikulu ya rais ikiwa ndio kilele cha maandamano ya…

Marekani yamfunga miaka 45 jela rais wa zamani wa Honduras

Mahakama mjini New York imemhukumu rais wa zamani wa Honduras kifungo cha miaka 45 jela kwa makosa ya ulanguzi wa dawa za kulevya. Juan Orlando Hernandez alihukumiwa Jumatano kwa kuyasaidia makundi ya wauzaji wa dawa za kulevya kuingiza nchini Marekani…

Ruto asikiliza kilio cha Wakenya, asisitiza kubana matumizi

Kenya inashusha pumzi baada ya Mswada wa Fedha wa 2024 uliozua utata kutupiliwa mbali. Rais William Ruto hatimae ametangaza kusikiliza kilio cha wakenya walioupinga mswada huo kwa nguvu zote. Akilihutubia taifa kwa mara ya pili tangu maandamano kulitikisa taifa kwa…

Tanzania yashinda tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Ubunifu bora huduma za umma kupitia mfumo wa e-Mrejesho

Tuzo za Umoja wa Mataifa za Ubunifu katika Huduma za Umma ‘UN Public Service Innovation Awards’ zimetolewa leo Juni 26 mwaka huu, nchini Korea Kusini kwenye Kilele cha Wiki ya Huduma kwa Umma ya Umoja wa Mataifa ‘UN Public Service…

Profesa Janabi atua Arusha kuongeza kasi kambi ya matibabu ya RC Makonda

Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari bingwa na Mbobezi kwenye magonjwa ya moyo amewasili mkoani Arusha usiku wa Jumatano Juni 26, 2024 tayari kuhudumia wananchi kwenye Kambi maalum ya Matibabu inayoendelea mkoani Arusha kwenye…