JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TCCS yaunga mkono jitihada za Rais Samia uboreshaji sekta ya mifugo

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHAMA cha Wafanyabiashra wa Ng’ombe Tanzania (TCCS), kimesema kinaendelea kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan za kuhakikisha sekta ufugaji nchini inazidi kuboreshwa na kufanya kuwa ufugaji wa kisasa. Hayo yamebainishwa jijini…

Patrick Ausems ‘Uchebe’ kocha mpya Singida Black Stars

Na Isri Mohamed Klabu ya soka ya Ihefu (Singida Black Stars) imeutangazia uma kuwa imefikia makubaliano na kocha Patrick Aussems raia wa Ubelgiji kuwa kocha wao mkuu kwa msimu unaofuata wa 2024/25. Taarifa ya klabu hiyo inaeleza kuwa kocha huyo…

Serikali, JET kutatua migongano ya binadamu na wanyamapori

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia,Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara l ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na chama cha waandishi wa Habari za Mazingira (JET) wamewataka wanahabari kuendelea kutoa elimu juu ya utatuzi wa migogoro ya binadamu na wanyamapoli kwa…

Wafanyabiashara Kariakoo wamwangukia Rais Samia tozo TRA

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia Dar es Salaam JUMUIYA ya wafanyabiashara Kariakoo wamemuomba Rais Dk Samia Suluhu Hassan kutoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kushughulikia tozo zote mizigo ikiwa bandarini kusaidia kuondoa usumbufu bidhaa zinapoongizwa sokoni. Hayo yamebainishwa leo, Juni…

Tanzania yapiga hatua katika mapambano dhidi ya VVU

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma IDADI ya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi nchini imeendelea kupungua kutoka watu 72,000 mwaka 2016/2017 hadi kufikia watu 60,000 kwa mwaka 2022/2023 idadi ambayo sawa na punguzo la asilimia 16. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Tume…

Try Again amgomea Moo Dewji kujiuzulu uenyekiti Simba

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwekezaji na Rais wa heshima wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji amewapigia simu wajumbe wa upande wake akiwataka waandike barua za kujiuzulu kwa lengo la kuunda safu mpya ya uongozi. Baada ya wajumbe…