JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Dirisha la wanafunzi kuomba mkopo 2024/25 lafunguliwa

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini(HESLB), imetangaza kufunguliwa dirisha la kuomba mkopo kwa wanafunzi wa mwaka wa masomo 2024/2025 huku waombaji wametakiwa kusoma mwongozo kabla ya kuomba. Akizungumza na…

Doyo atangaza kugombea nafasi ya uenyekiti ADC

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Chama Cha Alliance for Democrac Change (ADC) Taifa, Doyo Hassan Doyo ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Taifa baada ya Mwenyekiti wa sasa Hamad Rashid Mohamed kumaliza muda wake…

Kikosi kazi kuundwa kudhibiti utorishaji madini Songwe

Na Mwanahamisi Msangi, Songwe TUME ya Madini Mkoa wa Songwe imeunda kikosi kazi maalum cha kupambana na kudhibiti utoroshaji wa madini na kusababisha serikali kukosa mapato. Hayo yamesemwa na Afisa Madini Mkazi – Songwe, Chone Malembo wakati akizungumza na waandishi…

NEMC kuanza utekelezaji maagizo ya Serikali yaliyotolewa kwenye maadhimisho ya Siku ya Mazingira

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limesema lipo mbioni kuanza kufanyia kazi upya mapitio ya Sheria za mazingira ili kufanikiwa, kupunguza na hatimaye kukomesha kabisa uharibifu wa mazingira nchini . Hatua…

TLS yawashauri waandishi wa habari kuandika habari bila woga

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dodoma Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuandika habari zenye mlengo wa hasa au chanya Kwa manufaa ya jamii Ushauri huo umetolewa na Makamu wa Rais wa Tanganyika Law Society ( TLS), Deus Nyabili alipokuwa akifungua mkutano…

Kuna gari linanifuatilia, nahofia maisha yangu – Lissu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameweka wazi kuwa tangu ameanza ziara yake kuna gari inafuatilia msafara wake na wakifika kwenye mkutano Watu hao hujificha. Lissu ameyasema hayo akiwa kwenye…