Year: 2024
Polisi kuwanasa wezi wa kompyuta na mali mbalimbali kwenye magari Songea
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limefanikiwa kumkamata Alpher Christophrer Minja mkazi wa eneo la Sanawali jijini Arusha ambaye alikuwa akitafutwa kwa muda mrefu kwa makosa ya unyang’anyi na wizi ndani ya magari ambayo yalikuwa yanaegeshwa…
Wizara ya Nishati yataja vipaumbele vyake kwa mwaka wa fedha 202425
Serikali itaendelea kutekeleza miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme ikiwa ni pamoja na kufikisha gridi ya Taifa katika mikoa iliyosalia,kupeleka nishati vijijini, ikiwemo katika vitongoji; kutekeleza miradi ya kielelezo na kimkakati ya mafuta na gesi asilia ikiwemo mradi…
Waziri Mavunde afuta maombi ya leseni za madini 227
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Madini, Mhe.Anthony Mavunde amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume ya Madini imefuta jumla ya maombi ya leseni 227 ambayo yamekosa vigezo vya kuendelea kufanyiwa kazi. Ameyasema hayo leo tarehe 24 Aprili, 2024 Jijini Dodoma…
Serikali kuendelea kusambaza majiko banifu kwenye kaya
SERIKALI imesema itaendelea na utekelezaji wa mradi wa kusambaza majiko banifu kwenye kaya zilizopo katika maeneo ya vijijini na vijiji-miji na kutoa ruzuku kwa wazalishaji wa mkaa mbadala kwa ajili ya ununuzi wa mashine zitakazotumika katika uzalishaji wa mkao huo….