JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Jamii yakumbushwa umuhimu wa malezi bora ya familia

Na WMJJWM, Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jonsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameiasa jamii kuona umuhimu wa malezi bora kwa watoto ndani ya familia kama chanzo cha jamii. Ametoa wosia huo Aprili 18, 2024 jijini…

Benki ya Akiba yazindua rasmi huduma ya kadi za visa

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Benki ya Akiba (ACB) imezindua rasmi huduma ya kadi za VISA ambazo ni mahususi kwa kufanya huduma za miamala ya kifedha ambapo inauwezo wa kutumika sehemu yoyote Duniani. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo…

Ukraine yaonya kuhusu kutokea kwa vita vya tatu vya dunia

Waziri mkuu wa Ukraine ameiambia BBC kutakuwa na “Vita vya Tatu vya Dunia” ikiwa Ukraine itashindwa katika mzozo kati yake na Urusi, huku akilitaka bunge la Marekani kupitisha mswada wa msaada wa kigeni uliokwama kwa muda mrefu. Denys Shmyhal alionyesha…

Kihenzile: Tanzania ipo tayari kushirikiana kudhibiti usalama wa vivuko

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema Tanzania iko tayari kuhakikisha inashirikiana na Jumuiya ya Kimataifa ili kudhibiti vyanzo vyote vinavyosababisha majanga na usalama kwenye vivuko vyote Nchini pamoja na kuweka mazingira salama…

Serikali yafungua milango wenye nia ya kuchangia mazingira

…….. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali itaendelea kufungua milango kwa wadau wenye nia ya kuchangia katika hifadhi endelevu ya mazingira. Amesema hayo wakati wa kikao na ujumbe kutoka…