JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Waziri wa Ulinzi atoa pole vifo na majeruhi ya wanajeshi wa Tanzania DRC

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, kufuatia vifo vya Wanajeshi watatu (3) na wengine watatu (3) kujeruhiwa…

Waziri Mkuu mgeni rasmi ufunguzi wa MAKISATU Tanga

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Wizara hiyo imefungua dirisha la usajili wa Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) zitakazopelekwa kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na…

Watuhumiwa 30 wakamatwa wakighushi nyaraka za NSSF ili wajipatie fedha

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na maofisa wa mifumo ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 30 kwa tuhuma za kugushi nyaraka mbalimbali zinazohusiana…

Shambulio la kombora DRC lawaua wanajeshi watatu wa Tanzania

Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye shambulio la kombora mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Wanajeshi hao wanahudumu katika kikosi cha kutunza amani cha kijeshi cha Jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC. Wanajeshi wengine watatu wanasemekana kujeruhiwa. Taarifa…

WHO: Watu 3500 hufariki kwa homa ya ini kila siku

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limeonya kuwa zaidi ya watu 3,500 hufariki kutokana na virusi vya homa ya ini kila siku na kuongeza idadi ya wanaoathirika duniani. Shirika la afya duniani limesema zaidi ya watu 3000 hufariki kwa homa ya…

Basi lililojaa abiria lasombwa na maji yenye mafuriko

Watoa huduma za dharura wamekuwa wakiwaokoa abiria waliokuwa wamenasa ndani ya basi lililosombwa na mafuriko kwenye barabara kuu yenye shughuli nyingi kaskazini mwa Kenya. Basi hilo, likiwa na takribani abiria 50, lilikuwa likielekea mji mkuu, Nairobi, kutoka kaskazini mwa kaunti…