Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asharose Migiro akimkaribisha Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป kuzungumza na maelfu ya wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 1 Oktoba 2025.