Katika jamii zetu kume kuwa na desturi ya baadhi ya mitazamo kuwa ni vizuri kuwa na mali fiche amabazo hazijurikani na mkee.mume hata muda mwingine Watoto hata ndgu wa damu.
Hii desturi imeaanza jengeka hasa kwa wanaume kuficha ama kufanya baadhi ya miradi kwa kificho bila kushirikisha familia hasa mkee na Watoto nah hii imekuwa iki sababisha kupotea ka mali hasa pale kunapo tokea kifo cha ghafla cha muhusika.
FAIDA ZA KUTO FICHA MALI NA KUSHIRIKISHA FAMILIA
1.Familia kunufaika na urithi halali
2.kuepusha migogoro ya familia na jamii
3.mueendelezo mzuri wa mali kwa vizazi na vizazi
4.kuimarika kwa uchumi wa familia
HASARA ZA KUFICHA MALI AMA KUWEKA MIRADI FICHE
Kwa utafiti mdogo nilio ufanya maeeneo yangu ya kazi na mtaani nime baini kuna watu wengi hususan wana ume hasa wanao ishi maeeneo ya mijini wana desturi ya kuweka miradi ambayo familia inakua hai jui ,mfano ana nunua kiwanja kwa siri,ana jenga nyumba kwa siri.
Kwa hio hii desturi ina hasara kubwaa
1.familia kupoteza haki ya kurithi mali halali
- ina ongeza uduni wa familia kwakua wanakuwa hawajui namana Uchumi wa familia ulivyo jengwa
- Husababisha migogoro ya familia .
Sote tuasafiri katika hii dunia ,pale tuna po pata kuwa na mali tujitahidi kuishirikisha familia ili kuepuka adha inayo weza jitokeza pale tunapo kuwa tumeaaga dunia au kupata madhara ambayo yanaweza pelekea kuto kuwa na uwezo wa kufahamisha ndgu mali zetu
Imeandaliwa na;
John Francis Haule
Mkuu wa soko la Samunge
Jiji la Arusha
Simu 0756717987
Email; [email protected]


