Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akitembelea Chuo cha Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) kilichopo Burugo wilayani Bukoba mkoani Kagera, ambayo ni ziara ya kuhimiza taasisi za umma kutumia nishati safi ya kupikia.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akikagua na kupata maelezo kuhusu namna jiko linalotumia nishati safi ya alipofanya ziara ya kutembelea Chuo cha Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) kilichopo Burugo wilayani Bukoba mkoani Kagera, kuhimiza matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kulinda mazingira.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akipokea zawadi ya kikombe na picha yake iliyoandaliwa katika karakana ya uchoraji na upakaji rangi alipotembelea Chuo cha Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) kilichopo Burugo wilayani Bukoba mkoani Kagera, ambayo ni ziara ya kuhimiza taasisi za umma kutumia nishati safi ya kupikia.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali na viongozi kutoka Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) alipofanya ziara katika chuo hicho kilichopo Burugo wilayani Bukoba mkoani Kagera ambapo alifanya ziara ya kuhimiza taasisi za umma kutumia nishati safi ya kupikia.