Muonekano wa eneo la Mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta
JamhuriComments Off on Muonekano wa eneo la Mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Matanki ya kupokea Mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam, Kigamboni, Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Matanki ya kupokea Mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam, Kigamboni, Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026.default