Rais Samia afuturisha mabalozi, wakuu wa mashirika ya kimataifa, Ikulu Dar
JamhuriComments Off on Rais Samia afuturisha mabalozi, wakuu wa mashirika ya kimataifa, Ikulu Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Iftar aliyowaandalia Mabalozi wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Machi, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza Mabalozi wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa mara baada ya Iftar aliyowaandalia, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026.Mabalozi, viongozi mbalimbali pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026.Amidi wa Mabalozi ambaye pia ni Balozi wa Comoro nchini Tanzania Mhe. Ahmada El Badaoui Mohamed Fakih, akiomba dua mara baada ya kushiriki Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026.Matukio mbalimbali katika Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026.