Rais Dk Samia na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Rais wa Namibia Netumbo
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Rais wa Namibia Netumbo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 20 Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt, Netumbo Nandi-Ndaitwah baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 20 Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah akikagua Gwaride la Heshima la Mapokezi katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Juni, 2026.